New Video: S Kide – Ushemeji Upo

0

Msanii S Kide ameachia video ya wimbo wake mpya ya ‘Ushemeji Upo’ na hii ni baada msanii Man Fongo kuachia wimbo unaoitwa ‘Hainaga Ushemeji’.