New Video: Raymond – Kwetu

0

Baada ya uongozi wa WCB kuchelewesha video ya Ray Vanny ‘Kwetu’ kwa saa kadhaa kutokana na sababu ya kuchelewa kutumwa, hatimae video imeshaachiwa kwenye mitandao na imefanywa na director yule yule ambaye amefanya video kadhaa za Diamond Platnumz kama ‘Nana’ na nyingine Godfather.