New Video: Queen Darleen ft. Rayvanny – Kijuso

0

Kutoka WCB, Mwana dada Queen Darleen ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kijuso’ akiwa amemshirikisha Rayvanny. Video imeongozwa na Hanscana.