New Video: Queen Coco – Leo

0

Mwana dada Queen Coco ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa “Leo”. Video imetayarishwa na director Ivan.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako