New Video: Pozza Boy ft. Dayna Nyange – Sweet Love

0

Hii hapa ni video ya wimbo mpya kutoka kwa Pozza Boy unaitwa ‘Sweet love’ akiwa amemshirikisha Dayna Nyange. Video imetayarishwa na Director Ivan.

Angalia hapa na utoe maoni yako.