New Video: Pozi Adim ft. Ommy Tone – Nina Imani Nae

0

Video ya wimbo mpya unaitwa ‘Nina Imani Nae’ kutoka kwa msanii wa muziki visiwani Zanzibar, Pozi Adim akiwa amemshirikisha Ommy Tone. Video imeongozwa na Panther.

Angalia hapo chini na utoe maoni yako.