New Video: New Money ft. Sultan King & Shareezy – Nini Tatizo

0

Rapa kutokea visiwani Zanzibar, New Money ameachia video ya wimbo wake “Nini Tatizo” ambayo amewashirikisha Sultan King na Shareezy.

Angalia hapa na utoe maoni yako.