New Video: New Money ft. Berry Black & Shirko – Mr. Camera Man

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea visiwani Zanzibar ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Mr. Camera Man’ akiwa amemshirikisha Berry Black na Shirko. Video imetayarishw na studio za Kwetu Studio.

Angalia video hapo chini na utoe maoni yako.