New Video: Nemo – Kipotabo

0

Baada ya kukaa kimya kirefu mwanamuziki NEMO ameachia video ya wimbo mpya ‘Kipotabo’. Video imetayarishwa na Kwetu Studio.

Angalia hapa na utoe maoni yako