New Video: Mass – Hatare

0

Msanii na mtayarishaji wa muziki kutokea studio za Carribean Records, Mass ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa ‘Hatare’. Video imetayarishwa na Carribean Production.

Angalia hapo chini na utoe maoni yako.