New Video: Marlaw Ft Fundi Samweli – Pamoja

0

Msanii wa Bongo Fleva Marlaw baada ya kimya kirefu ameachia video mpya akiwa pamoja Fundi Samweli wimbo unaitwa “Pamoja”, Video imeongozwa na Director Jahman.