New Video: Manchado ft. Juma Nature – Kwa Ajili ya Wana

0

Rapa Man Chado ameachia video ya wimbo wake ‘Kwa Ajili ya Wana’ akiwa amemshirikisha Juma Nature. Video imetayarishwa na Kokwa Production na director Benjamin.

Angalia video hapo chini na utoe maoni yako.