New Video: Man Chado ft Obio – Tosha

0

Rapa wa muziki wa kizazi kipya Man Chado ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa “Tosha” akiwa amemshirikisha Obio. Video imetayarishwa na director Alfred Jackson.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako