New Video: Mafikizolo ft. Diamond& Dj Maphorisa – Colors of Africa

0

Hatimaye ile video ya wimbo uliyokuwa unasubiriwq kwa muda mrefu sasa ipo mitandao unaweza  kuangalia video ya wimbo wa Mafikizolo waliomshirikisha Diamond na Dj Maphorisa ‘Colors of Africa.’