New Video: Lucky Cray – Kamata

0

Kama hujausikia na kuupata wimbo wake, bonyeza hapa kuupata. Baada ya kuusikiliza wimbo huo, Lucky Cray anakukaribisha kutazama video ya wimbo huo mpya unaitwa “Kamata”. Video imetayarishwa na director Craiman Msafi.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.