New Video: Lady Jaydee – Sawa Na Wao

0

Msanii mkongwe wa muziki, Lady Jaydee, ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Sawa na Wao’. Video imeandaliwa na kampuni ya Phenomenal chini ya director, Meji Alabi.