New Video: Kipara Boy ft. Midola – Shemeji

0

Video ya wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Zanzibar, Kipara Boy ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa “Shemeji” akiwa amemshirikisha Midola. Video imetayarishwa na director Modi Peru.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.