New Video: King Crazy GK – Mzuri Pesa

0

Rapa kutoka kundi la East Coast Team, King Crazy GK amevunja ukimya kwa kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Mzuri Pesa’. Audio imeandaliwa na producer Aloneym na kufanyiwa mastering na Wanene Entertaiment.