New Video: Jumaa Town – Legend

0

“Hajawahi pata tuzo wala makala kumsifia, ana sikio la muziki, vocal na kiki, anakupa ushauri toa kile weka hiki” Hayo ni kati ya mashairi yaliyokuwemo katika wimbo mpya wa Jumaa Town.

Hii hapa ni video yake mpya ya wimbo huo unaitwa “Legend”. Video imetayarishwa na Director Panther.

Angalia hapo chini na utoe maoni yako