New Video: Jay Moe – Pesa Ya Madafu

0

Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Jay Moe baada ya ukimya wake kwenye game la muziki ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Pesa Ya Madafu”, Video imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studio.