New Video: Jah Prayzah ft. Diamond – Watora Mari

0

Mwanamuziki maarufu wa nchini Zimbabwe, Mukudzei Mukombe anayejulikana zaidi kwa jina la Jah Prayzah ameachia video yake mpya ‘Watora Mari’ aliomshirikisha Diamond. Wimbo huo unapatikana kwenye albamu ya saba ‘Mudhara Vachauya’ ya msanii huyo iliyotarajiwa kuachiwa Agosti 12. Tazama video hapa.