New Video: Hemedy Music – Mama Mkwe

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Hemedy Music ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa “Mama Mkwe”. Video imetayarishwa na studio za ZanziPix.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.