New Video: Haule – Sikuamini

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Haule, ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa “Sikuamini”. Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr kutokea studio za Waiz Empire.

Angalia hapo chini na utoe maoni yako.