New Video: Gerard Hero – Zoba

0

Video ya wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya anaitwa Gerard Hero. Wimbo unaitwa “Zoba”, video ya wimbo huo imetayarishwa na director Kilonzo.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.