New Video: Franco – Kipepeo

0

Msanii wa muziki Franco ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa “Kipepeo”. Video imetayarishwa na studio za M-Motion Visual.

Angalia hapa video hiyo na utoe maoni yako.