New Video: Fatma ft. Country Boy – Love Me

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, mwanadada Fatma ameachia video ya wimbo mpya unaitwa “Love Me” akiwa amemshirikisha Country Boy. Video imetayarishwa na director Kilonzo.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako