New Video: Fany – Nipe

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka visiwani Zanzibar, Fany ameachia video ya wimbo mpya unaoitwa “Nipe”. Video hiyo imetayarishwa na Kwetu Studios.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako