New Video: Faay Baby – Tuachane (Lava lava Cover)

0

Mwanadada Faay Baby ameachia video ya wimbo wake mpya inayoitwa “Tuachane” ikiwa ni cover ya wimbo wa msanii Lava Lava. Video imetayarishwa na director Dully Wahid Panther.

Angalia hapa na utoe maoni yako