New Video: Faay Baby ft. Sultan King – Simanzi

0

Msanii wa kike kutoka Zanzibar Faay Baby baada ya wimbo wake wa ‘Simanzi’ kufanya vizuri, ameachia video ya wimbo akiwa amemshirikisha Sultan King. Video imeongozwa na Director Juhudi