New Video: Dulla – Solemba

0

Video ya wimbo mpya kutoka msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dulla. wimbo unaitwa Solemba, video imetayarishwa na director Daudi Mzuri.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.