New Video: Darassa – Hasara Roho

0

Msanii wa muziki Darassa Baada ya wimbo wake wa Muziki kufanya vizuri sasa ameachia video ya wimbo wake mpya “Hasara Roho”. Video imetayarishwa na Director Hanscana.