New Video: Christian Bella Ft Khaligraph Jones – Holla

0

Mkali wa muziki wa Dance hapa Tanzania Christian Bella, ameachia video mpya wimbo unaitwa “Hollah” amemshirikisha rapper kutoka Kenya Khaligraph Jones, Video imeongozwa na Hanscana.