New Video: Boy Wiz – Usibadilike

0

Baada ya kuachia wimbo mpya unaitwa “Usibadilike” Boy Wiz anakukaribisha kuangalia video ya wimbo huo. Video imetayarishwa na director Pozza.

Iangalie video hiyo na utoe maoni yako