New Video: Boy Wiz – Move It

0

Tayari umeshausikia wimbo mpya wa Boy Wiz unaitwa “Move It”? Kama bado bonyeza hapa kuusikiliza. Boy Wiz amewaletea video ya wimbo wake mpya wa “Move It”. Video imetayarishwa na director Agripa.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.