New Video: Berry White ft. Saada Nassor – Deka

0

Msanii wa kizazi kipya kutokea Zanzibar ambae kwa hapo mwanzo alikuwa akiunda kundi la 2 Berry ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Deka’ akiwa amemshirikisha muimbaji wa Taarab Saada Nassor. Video imetengenezwa na Dulla Wezi na Audio imetayarishwa katika studio za Mandevu chini ya ‘Producer’ Buju na Lummie.