New Video: Barry Junior – Doro

0

Video ya wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki Barry Junior inaitwa “Doro” kama hujaipata wimbo wake bonyeza hapa. Video imetayarishwa na Director Modi Peru.

Angalia hapo chini video hiyo na utoe maoni yako.