New Video: Barakah The Prince ft. Ali Kiba – Nisamehe

0

Video ya wimbo wa Barakah The Prince akimshirikisha kaka yake Alikiba, Nisamehe imetoka. Imeongozwa na Meji Alabi na ilifanyika Afrika Kusini.