New Video: Baba Rhino – Muda

0

Msanii Baba Rhino ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Muda’. Wimbo umetayarishwa na Director Creator Pro5 kutoka studio za Dreams Multimedia.

Angalia hapo chini na utoe maoni yako