New Video: Amini – Sijui

0

Hii hapa ni video ya wimbo mpya kutoka kwa Amini inaitwa ‘Sijui’. Na kama bado hujausikia wimbo wake bonyeza hapa kuusikia. Video imetayarishwa na director Sam.

Bonyeza hapo chini kuiangalia hiyo video.