New Video: Alpha – Nikatae

1

Hii ni video ya wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki Alpha wa Melody unaitwa “Nikatae”. Video imetayarishwa na director Dully Wahid ‘Panther’.

Angalia video hapo chini na utoe maoni yako.