New Video: Alpha ft. Chikitita- Siwezi

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alpha wa Melody ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Siwezi’. Video imetayarishwa na director Creator pro5.

Angalia hapa na utoe maoni yako.