New Video: Alpha Da Best – Usidanganyike

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Alpha Da Best anawaletea video ya wimbo wake mpya unaitwa “Usidanganyike”. Video imetayarishwa na director SDK.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.