New Video: Ali Kiba ft. M.I – Aje

0

Ali Kiba ameiachia video yake akiwa na ‘Good News’ Baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni ya Sony Music Africa. Staa huyo leo amesaini mkataba na record label hiyo kubwa duniani jijini Johannesburg, Afrika Kusini. “Ni step moja wapo watu wangependa kuniona na leo ndio imefikia,” alisema Kiba mbele ya waandishi wa habari waliokuwa wamehudhuria kwenye utiaji saini katika deal hilo.

Angalia Video ya wimbo mpya wa Alikiba ‘Aje.’ Imeongozwa na Mejji Alabi.