New Video: Aley Star – Ndi Ndi Ndi

0

Kama bado hujaupata wimbo huu mpya kutoka kwa Aley Star bonyeza hapa kuupata wimbo huo. Baada ya kuupakua wimbo mpya Aley Star anawakaribisha kuiangalia video ya wimbo huo Unaitwa “Ndi Ndi Ndi”. Video imetayarishwa na director Eddy.

Angalia video ya wimbo na utoe maoni yako.