New Video: Aley ft. Lucray – Ikamatie Chini

0

Video ya wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Aley ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Ikamatie Chini” akiwa amemshirikisha Lucray. Video imetayarishwa na director Modi Peru.

Iangalie video hiyo na utoe maoni yako.