New Music: Zee Town Sojaz ft. Ison, Chaby Six & Rico Single – Tatizo Nini

0

Kundi la muziki wa kizazi kipya Zanzibar, Zee Town Sojaz wameachia wimbo mpya ‘Tatizo Nini’ wakiwa wamewashirikisha Ison Mwanaharakati, Chaby Six na Rico Single. Wimbo umetayarishwa katika studio za Island Records Zanzibar na umetengenezwa na producer Aloneym.