New Music: Young Killer ft. Harmonize – Unaionaje

0

Rapa Young Killer ameachia wimbo wake mpya ‘Unaionaje’ akiwa amemshirikisha msanii kutoka WCB, Harmonize. Wimbo umetayarishwa katika studio za Touch Sound chini ya Producer Mr. T Touch.

Sikiliza Hapa