New Music: Watatu Fleva – Penzi zigo la roho

0

Kundi la muziki kutoka visiwani Zanzibar, Watatu  Fleva wameachia wimbo wao mpya “Penzi zigo la roho”. Wimbo umetayarishwa katika studio za Minane Records chini ya producer Ima Mi8.

Sikiliza hapa