New Music: Watafutaji ft. Honey Ella – Karanga

0

Kundi la muziki la Watafutaji wameachia wimbo wao mpya ‘Karanga’ wakiwa wamemshirikisha mwanadada Honey Ella. Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr. katika studio za Mi8 Records.

Sikiliza Hapa