New Music: Watafutaji – Changamoto

0

Baada ya kimya kingi huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa kundi la Watafutaji, wimbo unaitwa ‘Changamoto’ umetayarishwa na producer T Touch. Sikiliza hapa na utoe maoni yako.